Habari za Punde

MKUTANO WA WATANZANIA UJERUMANI,JUMAMOSI 13.05.2017 MJINI ESSEN

Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V unapenda kuwaalika watanzania wote wanaoishi Ujerumani (TANZANIA DIASPORA) kwenye mkutano mkuu wa umoja wetu 2017. Mkutano wetu mkuu utafanyika Siku ya Jumamosi, terehe 13.05.17 saa 13:00 Mchana  katika Address ifuatayo Bob's Cafe, Altendorfer Straße 375  45143 Essen
Ili kufanikisha mkutano wetu tunawaomba watanzania kufika kwa wingi mno, mkutano huu ni muhimu sana kwani  kuudhuria kwenu ndio mafanikio ya umoja wetu na mafanikio yako wewe mtanzania unayeishi hapa ujerumani . Umoja wa Tanzania Ujerumani ( UTUe.V) ‘’Ndio mwavuli  na Sauti ya watanzania Ujerumani’’

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.