Habari za Punde

MPAMBANO WA KIHISTORIA MSONDO NGOMA vs SIKINDE KUFANYIKA MEI 20 MWAKA HUU

 Mratibu wa pambano la Kihistoria la Wakonge wa Muziki Tanzania, Msondo Ngoma na Sikinde Ngoma ya Ukae, Abdurfareed Hussein (katikati waliokaa chini) akiwatambulisha wawakilishi wa bendi za Msondo Ngoma, Juma Katundu (wa tatu kushoto waliosimama) na Sikinde, Abdallah Hemba (wa tatu kulia waliosimama) wakati wa mkutano na wandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo kuhusu mpambano huo unaotarajia kufanyika Mei 20 mwaka huu kwenye Ukumbi wa Travertine Magomeni.
 Mratibu wa pambano la Kihistoria la Wakonge wa Muziki Tanzania, Msondo Ngoma na Sikinde Ngoma ya Ukae, Abdurfareed Hussein, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
 ratibu wa pambano la Kihistoria la Wakonge wa Muziki Tanzania, Msondo Ngoma na Sikinde Ngoma ya Ukae, Abdurfareed Hussein, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
 Abdallah Hemba wa Sikinde akizungumza machache kuhusu mpambano huo
 Romario wa Msondo, akizungumza machache kuhusu mpambano huo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.