Habari za Punde

MWENGE WA UHURU WAZINDUA BUSTANI YA MNARA WA ASKARI POSTA MPYA

 Muonekano wa Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuzinduliwa mapema hii leo na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour. 
 Mwenge wa Uhuru ukiwasili katika bustani ya Mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora kwa ajili ya ya uzinduzi wa bustani hiyo uliofanywa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour.
 Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2017,Amour Hamad Amour (katikati) akipata maelekezo toka kwa msimamizi wa bustanai ya mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mara baada ya kuizindua bustani hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam,
 Baadhi ya wananchi wakishuhudia tendo la uzinduzi wa bustanai ya mnara wa Askari uliopo kati ya barabara  ya Azikiwe na Samora mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Picha ya pamoja 
Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.