Habari za Punde

MWILI WA MAREHEMU DEBORA SANGA DIWANI WA VITI MAALUM JIMBO LA SEGEREA AZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI

 Vijana  wa Red Briged wa Chadema wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Diwani wa Viti Maalum Jimbo la Segerea Debora Sanga, wakati wakielekea mazikoni Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo. Marehemu Debora alifariki ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwake Tabata Shule baada ya kuugua. 
 Sehemu ya waombolezaji wakiwa katika msiba huo nyumbani kwa marehemu Tabata Shule. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 Madiwani wa Chadema wakiwa katika msiba huo
 Majonzi na vilio vilitawala 

 Wengine walikuwa wakisebeneka katika msiba huo wakiimba na kucheza.
 Baadhi ya wanandugu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.