Habari za Punde

WAZIRI MBARAWA ATEMBELEA KUKAGUA UJENZI WA DARAJA LA TRENI LA MTO RUVU LILILOBOMOKA KWA MVUA

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Makame Mbarawa, akitembea juu ya Daraja la dharula jana wakati alipofika Ruvu kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Treni la Mto Ruvu lililoboka kutokana na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof Makame Mbarawa (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa TRL, Masanja Kadogosa, juzi wakati alipofika Ruvu kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Treni la Mto Ruvu lililoboka kutokana na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
 Vijana wakiwa bize kujaza mawe katika mifuko kwa ajili kupanga chini ya daraja hilo ili kuendelea na ujenzi wa kulirudisha katika hali yake.
 Waziri Mbarawa akishuka katika Kiberenge alipowasili kukagua daraja hilo jana
 Waziri Mbarawa akiongozana na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa TRL walipowasili Ruvu kukagua daraja hilo jana
 Waziri Mbarawa akisalimiana na baadhi yavijana Mafundi wa daraja hilo alipowasili eneo hilo jana
 Mhandisi Masanja akipita kwa makini juu ya daraja hilo
 Maelekezo kuhusu ujenzi wa daraja hilo 
Vijana wakiendelea na kazi ya ujenzi wa daraja hilo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.