Habari za Punde

WAZIRI MWAKYEMBE APOKEA AHADI YA SPORTPESA HUNDI YA SH. MILLIONI 50 KUCHANGIA SERENGETI BOYS

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harisson Mwakyembe (Kushoto) akipokea Hundi ya Shillingi milioni 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni ya SportPesa  Bw. Tarimba Abbas( kulia) kwa ajili ya kuisadia timu ya mpira ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) leo Jijini Dar es Salaam, katika ni Mkurugenzi wa Michezo Bw. Yussuph Singo
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harisson Mwakyembe (Kushoto) akitoa neno la shukrani baada ya kupokea Hundi ya Shillingi milioni 50 kutoka kwa Kampuni ya SportPesa kwajili ya kuisadia timu ya mpira ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) leo Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni hiyo  Bw. Tarimba Abbas.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.