Habari za Punde

WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE WAKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA

 Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa A. Zungu akifafanua jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge,   ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
 Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akizungumza  jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge,   ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mary Nagu akizungumza jambo katika semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge, ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
 Wageni wa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai ambao ni Wanafunzi wa Shule ya Sekondari kongwa wakitembelea maeneo Mbalimbali ya Viwanja vya Bunge leo baada ya kuhudhuria Kikao cha 22 Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.