Habari za Punde

YANGA YAIBANJUA MBEYA CITY 2-1 NA KUKAA TENA KILELENI

 Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa (kushoto) akimkalisha beki wa Mbeya City Tumba Lui, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 yaliyofungwa na Simon Msuva katika dakika ya 7 na Obrey Chirwa dakika ya 64, huku bao la kufutia machozi ya Mbeya City likifungwa na Betram Nchimbi. 
Tambe akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Mbeya City, wakati wa mchezo huo. KWA MATUKIO ZAIDI YA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.