Habari za Punde

YANGA YAKAA TENA KILELENI YAICHAPA TZ PRISONS 2-0

 Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa (kushoto) akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, Jumanne Elfadhili, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Ktika mchezo huo uliomalizika hivi punde Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kurejea kileleni mwa ligi hiyo wakiwa na Pointi 59 sawa na Mahasimu wao Simba wenye Pointi 59 tofauti ikiwa ni mabao ya kufunga.
 Msuva akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons
Heka heka langoni mwa Prison. KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.