Habari za Punde

YANGA YAICHAPA KAGERA SUGAR MABAO 2-1 NA KUREJEA KILELENI

Mhambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva, akiruka kufunga bao la kuongoza dhidi ya Kagera Sugar na kumchambua kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja,  akijaribu kuokoa. Katika mchezo huo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 yaliyofungwa na Simon Msuva na Obrey Chirwa, huku bao la kufutia machozi la Kagera Sugar likifungwa na Mbaraka Yusuph ambaye alizawadiwa kadi nyekundu kipindi chapili baada ya kumchezea rafu Kelvin Yondani
MSHAMBULIAJI wa Yanga SC Obrey Chirwa (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Kagera Sugar, Mohamed Fakii, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, 
KWA MATUKIOZAIDI YA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE.
*******************************
KIKOSI CHA YANGA:-
Beno David, Nadir Haroub 'Canavaro', Hassan Kessy, Mwinyi Haji, Kelvin Yondani, Thabani Kamusoko, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Obrey Chirwa, Amis Tambwe na Geofrey Mwashiuya.

KIKOSI CHA AKIBA:-
Deogratias Munishi, JUma Abdul, Vicent Bossou, Said Juma, Deus Kaseke,Matheo Anthony na Emmanuel Martin

KIKOSI CHA KAGER SUGAR:- Juma Kaseja, George Kavila, Godfrey Taita,Mwaita Gereza, Babu Seif, Mohamed Fakii, Seleman Mangoma, Ally Nassor, Mbaraka Yusuph, Christopher Edward na Ame Ally.

KIKOSI CHA AKIBA:-
John Chacha, Aladlaus Mfulebe, Anthony Matogola, Ally Ramadhan, Paul Ngwai, Japhet Makalai na Temi Felix.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.