Habari za Punde

ZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, katika Ofisi ya CCM mkoa huo, mwanzoni mwa ziara yake, kukagua uhai wa chama na mwenendo wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa CCM. Waliokaa kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe na Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa huo, Lugano Mwafongo
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaji Abdallah Bulembo akiwasili katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Ilala kwa ajili ya kukutana na viongozi wa Jumuia hiyo leo. Anayemkaribusha ni Mjumbe wa NEC, Ramesh Patel. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akisalimia baadhi ya wanachama wa CCM nje ya Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala baada ya kuwasili kweye ofisi hiyo, leo
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaji Abdallah Bulembo akipokea saluti ya Kijana wa CCM alipowasili ofisi ya CCM wilaya ya Ilala jana akiwa katika ziara hiyo
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akivishwa skafu na kijana wa CCM alipowasili Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala kufanya ziara hiyo.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi alhaj Abdallah Bulembo akisalimia wana CCM.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Buulembo akimsalimia Mbunge wa zamani wa Ukonga, Paul Rupia nje ya Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala alipowasili kwenye ofisi hiyo
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM wilaya ya Ilala, baada ya kuwasili kuanza ziara hiyo. Kulia ni Mjumbe wa NEC Ramesh Patel
Baadhi ya viongozi wa CCM kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi waliofuatana na Bulembo kwenye ziara hiyo
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj abdallah Bulembo akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye ukumbi kilikofanyika kikao cha viongozi wa Jumuia hiyo, Tabata jana.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akiingia ukumbini, Tabata
Ukumbi ukilipuka kwa nyimbo za mapokezi Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo alipingia ukumbini
Mwenyekiti wa Jumuiaya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili meza kuu tayari kuendesha kikao. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe na kulia ni Mjumbe wa NEC, Ramesh Patel ambaye anajiita Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ilala
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Daes Salaam, Lugano Mwafongo (kushoto) akiwa na viongozi wengine kwenye kikao hicho cha Tabata
Wanachama wa CCM ambao ni kutoka Jumuia ya Wazazi wakishangilia wakati wa kikao hicho
Baadhi ya viongozi kutoka makao makuu ya jumuia ya Wazazi wakiwa ukumbini.
Katibu wa Jumuia ya wazazi Wilaya ya Ilala Sophia Hamad akisalimia
Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Ilala, Anastazia Mongi akisalimia
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akiteta jambo na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe ukumbini
Katibu wa CCM wilaya ya Ilala akikabidhi taarifa ya mchakato wa uchaguzi katika maeneombalimbali wilayani humo kwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo.
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe akizungumza maneno ya utangulizi kwenye kikao hicho
Wanachama wakiwa ukumbini
Ofisa wa CCM kutoka MakaoMakuu ya Jumuia ya Wazazi Ndugu Kalolo akisalimia
Mjumbe wa NEC Ndugu Ramesh Patel akizungumza kumkaribisha Bulembo
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mAlhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa Jumuia ya Wazazi kwenye kikao hicho
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mAlhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa Jumuia ya Wazazi kwenye kikao hicho
Katibu wa UVCCM Kata ya Liwili, Ilala Mariam Issa na Katibu wa UVCCM jimbo la Segerea wakifurahia jambo ukumbini wakati wa kikao hicho
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akimtambulisha mbunge wa Segerea Bona Kalua kwenye mkutano huo
Mwenyekii wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdalla Bulembo akisoma taratibu za uchaguzi ndani ya CCM wakati wa kikao hicho. PICHA ZOTE NA CCM BLOG

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.