Habari za Punde

ZIARA YA BULEMBO, SIKONGE MKOANI TABORA LEO


Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora leo, kuendelea na ziara yake ya mikoani kukagua na kuimarisha uhai wa chama na Jumuia zake, na pia kuzungumzia masuala ya uchaguzi unaoendelea ndani ya Chama. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Ndugu Wagasubi na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Sikonge Abisa Mbogo
Katibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akitoa maneno ya utambulizi kabla ya Ndugu Bulembo kuzungumza na Kamati ya Siasa ya Wilaya hiyo leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Alhaj Abdallah Bulembo akifurahi jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Ndugu Wagasubi. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Utambulisho
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wzazi, Aljah Abdallah Bulembo akiwasilikiza viongozi wa CCM wilaya ya Sikonge, wakati wa kikao cha ndani katika Ofisi ya CCM Wilaya hiyo mkoani Tabora leo Kulia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Emmanuel Alex na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo Abisa Mbogo
Mwenyekti wa CCM Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, Abisa Mbogo akifungua kikao hicho.
Katibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akikabidhi taarifa ya uchaguzi nchani ya Chama kwa Ndugu Bulembo.
Katibu wa CCM Wilaya ya Sikonge Emmanuel Alex akisoma taarifa hiyo.
Ndugu Bulembo akitoka katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Sikonge, kwa ajili ya kwenda kuongoza kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza katika kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama, leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Ndugu Wagasubi na klia ni Mweneyekiti wa CCM Wilaya ya Sikonge bisa Mbogo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza katika kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama, leo. Katikati ni Mweneyekiti wa CCM Wilaya ya Sikonge Bisa Mbogo na kulia ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo Emmanuel Alex
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza katika kikao cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabalozi, watendaji wa Seikali na wa Chama, leo. 

Wajumbe ukumbini
Wajumbe Ukumbini. Picha zote na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.