Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA KIKAO CHA 45, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO

    Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Mhe.Prof Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
 Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
   Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
 Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017. 
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
Mbunge wa Mbinga Mjini(CCM) Mhe.Sixtus Mapunda akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Susan Kolimba  katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
   Mbunge wa Kalenga (CCM) Mhe.Godfrey Mgimwa  akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
 Mbunge wa Mwibara (CCM) Mhe.Kangi Lugola akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
 Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Asha Juma akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Makazi katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Holy Trinity English Medium kutoka Mkoani Dodoma wakiwa Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017. Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.