Habari za Punde

BREAKING NEEEEWZ aRAIS WA TFF JAMAL MALINZI, KATIBU WAKE, KABURU NA AVEVA WAPANDISHWA KIZIMBANI KISUTU MUDA HUU

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Jamal Malinzi, Katibu wake Selestine Mwesigwa, Rais wa Simba Evance Aveva, Geofrey Nyange Kaburu na mwanamke mmoja wakiwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam muda huu wakisubiri kusomewa mashitaka yanayowakabiri baada ya juzi kukamatwa na kushikiliwa na Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa, Takuku.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.