Habari za Punde

DKT.SHEIN AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA SIMON SIRRO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Inspekta Jenerali  wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha kwa Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Inspekta Jenerali  wa Polisi Tanzania Simon Nyakoro Sirro alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha kwa Rais. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.