Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MICHEZONI LEO, PICHA YA SIKU

Mwamuzi wa pembeni 'Mshika kibendera' akitumbukia katika mtaro wakati akiwa katika kazi jana kwenye Mchezo wa fainali wa Kombe la SportPesa Super Cup, ambapo alitumbukia katika kijishimo hiki kilichopo pembeni mwa uwanja huo na kuhangaika kujitoa na mpira kusimama kwa sekunde kadhaa. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.