Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, TAA ZA KUONGZA MAGARI MBEZI BEACH


Taa za kuongozea magari kwa mara ya kwanza zikiwa zimewekwa njia panda ya Barabara ya Goba eneo la Samaki Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Taa hizo pia zimewekwa njia panda ya Kawe eneo la Bondeni, ambapo pia utafanyika ujenzi wa Daraja la juu la wavuka kwa miguu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.