Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, ZAO LA MWANI

Kina mama wakazi wa Zanzibar, wakivuna zao la Mwani ufukwe wa Bahari ya Hindi eneo la Paje Mkoa wa Kusini, Unguja mjini Zanzibar kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.