Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Askari wa Usalama Barabarani akiwashusha abiria (wenye sare za Bluu) waliokuwa katika gari lenye namba za usajili T 179 ACZ, katika Kituo cha daladala cha Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Haikuweza kufahamika kosa la abiria na dereva wa gari hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.