Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, IJUMAA YA MWISHO YA MWEZI MTUKUFU

Baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa je ya Msikiti wa Manyema baada ya kutoka katika Ibada ya Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, wakichagua Kanzu za Sikukuu ya Eid El Fitri inayotarajia kusherehekewa siku ya Jumapili Juni 25, kutegemea na muandamo wa mwezi.
Baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislamu, wakitoka katika Ibada ya Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye Msikiti wa Manyema Kariakoo jijini Dar es Salaam, jana. Sikukuu ya Eid El Fitri inatarajia kufanyika siku ya Jumapili ya Juni 25 kutegemea na muandamo wa mwezi. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.