Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Mafundi wa kampuni ya Ujenzi ya Estim wakitumia makatapila kukandamiza Barabara ya kuingilia Kituo cha Daladala cha Makumbusho, wakati wakikarabati njia hiyo iliyokuwa imeharibika kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini na kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa njia hiyo, 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.