Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Gari la abiria maarufu kama 'Chai Maharage' likiwa limejaza abiria pamoja na mizigo juu ya keria, kama lilivyonaswa na Kamera ya Mafoto Blog, Mitaa ya Zanzibar, jambo ambalo ni hatari kwa abiria hao.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.