Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MKITAANI LEO, TABORA NA USAFIRI WA MWENDOKASI

Vijana wakiwa katika usafari wa Baiskeli ambao ni maarufu kwa Wakazi wa mikoa ya Mwanza na Tabora, ambapo huweza kusafiri umbali mrefu kwenda na kurudi bila kuchoka, kama walivyonaswa na Kamera ya Mafoto Blog, mkoani Tabora mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.