Habari za Punde

LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA KUCHUNGUZA MADINI

Hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kupokea Ripoti ya Kamati ya Pili ya kuchunguza mchanga wa madini Makinikia.

Mwenyekiti wa Kamati ya Pili ya Wachumi na Wanasheria iliyoundwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuchunguza Mchanga wa Madini unaosafirishwa kwenda nje ya nchi, Prof. Nehemia Osoro akiwasilisha Ripoti ya Kamati yake, mbele Rais Magufuli, Ikulu jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.