Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA GOR MAHIA ILIVYOWAONDOA NAKURU ALL STARS KATIKA SPORTPESA SUPER CUP NA KUTINGA FAINALI

 Beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Gor Mahia, Kagere Madie, wakati wa mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya SportPesa Super Cup,  iliochezwa jana Juni 8, 2017 kwenye Uwanja wa Uhuru jijjini Dar es Salaam. Katika Mchezo huo Gor Mahia waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kutinga fainali za mashindano hayo. Fainali za mashindano hayo zinatarajia kufanyika keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Uhuru.
 Mchezaji wa Nakuru All Stars Siwa Simon (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Gor Mahia, Odhiambo George, wakati wa mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya SportPesa Super Cup, iliochezwa jana Juni 8, 2017 kwenye Uwanja wa Uhuru jijjini Dar es Salaam. Katika Mchezo huo Gor Mahia waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kutinga fainali za mashindano hayo.
 Mchezaji wa Nakuru All Stars Siwa Simon (kulia) akichuana kuwania mpira na beki wa Gor Mahia, Odhiambo George, wakati wa mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya SportPesa Super Cup, iliochezwa jana Juni 8, 2017 kwenye Uwanja wa Uhuru jijjini Dar es Salaam. Katika Mchezo huo Gor Mahia waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kutinga fainali za mashindano hayo.
 Wachezaji wa Gor Mahia wakishangilia moja kati ya mabao yao mawili katika mchezo huo.
 Ilikuwa ni patashika nguo kuchanika kati ya beki huyu na mshambuliaji Medie
 
Hapa sikuelewa kipa huyu wa Nakuru alikuwa akifanya nini wakati mpira ukimpita

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.