Habari za Punde

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWAN KIKWETE AKABIDHI VITANDA, MAGODORO NA MASHUKA VYA WAGONJWA KWA HALMASHAURI YA CHALINZE

 Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwan Kikwete (wa pili kushoto) akabidhi msaada wa sehemu ya vitanda 5 vya kujifungulia, vitanda 20 vya Wodini ya wagonjwa, Magodoro 20 na mashuka 50 kwa Halmashauri ya Chalinze ambavyo vitagawiwa katika vituo Vitano (5)  vya Afya vilivyo katika Tarafa 5  za Halmashauri ya Chalinze .
Vifaa hivi ni sehemu ya Utekelezaji wa Ahadi za Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ilani ya CCM   -2015  kwa Wananchi wa Halmashauri ya Chalinze.
Maelezo baada ya makabidhiano......

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.