Habari za Punde

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE APITA JIMBONI KWAKE KUWAJULIA HALI WANANCHI WAKE,AZUNGUMZA NA WAZEE, VIJANA

 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia) akinunua vipande vya samaki kwa mama anayekaanga eneo la sokoni Chalinze wakati mbunge huyo alipokuwa akipita mitaani kuwajulia hali wapiga kura wake na kuzungumza na Vijana na Wazee wa Jimbo lake katika kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani jana.
 Mbunge Ridhiwani akizungumza na vijana Kijiweni
 Mbunge Ridhiwani akizungumza na Wazee wa Jimboni kwake
 Mbunge Ridhiwani akizungumza na baadhi yaVijana kijiweni
Mbunge Ridhiwani akikatiza katika mitaa ya jimboni kwake akiongozana na baadhi ya Wazee  wa Jimbo hilo jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.