Habari za Punde

MTANANGE WA SPORTPESA BONGO MOVIE WAKIWACHAPA BONGO FLAVA 1-0 UWANJA WA UHURU

 Hapa sijui TID Mnyama akilikuwa akitunga Songi gani hadi kujikuta akikalishwa na beki wa Bongo Movie, wakati wa mchezo wao wa kirafiki wa utangulizi katika Fainali ya SportPesa Super Cup, uliopigwa leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru.Katika mchezo huo Bongo Movie waliibuka kidedea kwa kuwachapa wadogo zao bao 1-0.
 Hili lilikuwa ni bonge la bambi sasa kati ya watu hawa waili unahisi nani alifanikiwa kuondoka na mpira kwa bambi hili na miili hii?????
 Bonge la pande kama ambavyo amekuwaakiwapa bonge ya mapande wasanii wake.
 TID umekulaaaaaaa???? si kwa shuti hili ulilopiga hapa aiseee
 Winga mchezeshaji wa kupanda na kushuka .....
 Anadaka pale bonge anakosa bao la wazi hapaaaaa......
 Mmoja kwa watatu umekula nini weweeeeeeee
 Mnyama alikuwa ni kama anacheza Brek dance......
  Aisee naomba niandikie Caption au maneno ya picha hii......
 Wakati mchezo huu ukiendelea vibweka vya watani wa jadi wa Kenya vilianza kama hivi
 Kikosi cha Bongo Movie
 Kikosi cha Bongo Flava....
katika mapozi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.