Habari za Punde

MWANAMUZIKI FERRE GOLA AWASILI DAR KUPIGA SHW TATU NA BELLA

 Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, akiwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa kuamkia leo, kwa ajili ya kufanya maonesho matatu na mwanamuziki Christian Bella, ambapo onesho la kwanza linaanza leo usiku katika Hoteli ya Serena likiwa ni maalumu kwa kuchangisha fedha za kusaidia Shule za wanafunzi wenye mahitaji maalumu, ambapo leo wameanza na shule ya Uhuru Mchanganyiko kwa kutoka ndoo za rangi kwa ajili ya kung'arisha kuta za madarasa yao.
 Baadhi ya viongozi wakisubiri kuwapokea wanamuziki hao usiku wa kuamkia leo.
 Wanenguaji wa Ferre Gola, wakiwasili uwanjani hapo
 Wanamuziki wa Ferre Gola, baada ya kuwasili uwanjani hapo
Safari ya kuelekea katika magari ili kupelekwa Hotelini....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.