Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia ni balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo yake na  Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada  (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia  ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na  Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Barrick  Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.