Habari za Punde

SIMBA YAUNGANA NA SINGIDA UTD, JANG'OMBE BOYS KUYAAGA MASHINDANO YA SPORTPESA SUPER CUP

 Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba Sc, Juma Luizio, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Nakuru All Stars, wameibuka kidedea kwa mikwaju 5 -4 ya penati baada ya kumalizika dakika 90 za mchezo bila kufungana. Picha kwa hisani ya Montage Ltd
 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazi Moto (kulia) akiwania mpira na Amani Kyata, wa Nakuru All Stars, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini 
Dar es Salaam. 
  Kikosi cha Simba SC
 Kikosi cha Nakuru All Stars
 Mshambuliaji wa Simba Juma Luizio (kulia) akichuana na Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Masoud Bakari wa Simba, akijaribu kukatiza katikati ya wachezaji wa Nakuru All Stars
 Beki wa Simba, Mwambeleko Jamal (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Nandwa Sosi,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru 
jijini Dar es Salaam. 
 Nginja nginja.....
 Athanas Michael, akijikunja kupiga shuti
 Mwinyi Kazimoto, akipoga kichwa kuelekea langoni kwa Nakuru
 Kiungo wa Simba Mwinyi Kazimoto (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Nakuru,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es 
Salaam.
 Beki wa Nakuru All Stars, akiokoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Simba, MohamedIbrahim,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
 Winga wa Simba, Jamal Mnyate, (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini 
Dar es Salaam. 
 Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto, akijipinda kupiga shuti kuelekea langoni kwa wapinzani, Nakuru All Stars,  wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa 
Uhuru jijini Dar es Salaam. 

 Mohamed Ibrahim wa Simba (kushoto) akiwania mpira na beki wa Nakuru All Stars, Mukhwana Sadicky, 
wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini 
Dar es Salaam. 


 Beki wa Nakuru All Stars, Amakanji Ekuba, akiondoa mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa 
Simba Sc, Juma Luizio, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye 
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.