Habari za Punde

SPIKA WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokutana jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.