Habari za Punde

STARS YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI NA LETHOTO 1-1

TIMU ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, leo wamelazimishwa sare kwa kufunga bao 1-1 na Lesotho katika mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika mwaka 2019 nchini Cameroon, uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es Salaam.
Bao la Stars lilifungwa na Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.