Habari za Punde

TRL WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUFANYA USAFI ENEO LA RAILWAYS


  Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Reli Tanzania TRL, Prof. John Kondoro (kushoto) akiwaongoza wafanyakzi wenzake wa Kampuni hiyo kufyeka wakati walipokuwa wakifanya usafi wa Mazingira jana ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani, inayofanyika Juni 1 kila mwaka. 
 Usafi ukiendelea eneo hilo
 Me naokota tuuchafu tu wala sifyeki
 Mie nafagia relini kwenye majani sigusi ng'ooooo

 Wengine walikuwa wakidaka matukio
 Maelekezo kabla ya usafi
 Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Reli Tanzania TRL, Prof. John Kondoro (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa TRL kabla ya kuanza kwa zoezi la usafi.
Nafyeka hapa

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.