Habari za Punde

TRL YATANGAZA KUANZA RASMI KUPITISHA TRENI YA ABIRIA DARAJA LA MTO RUVU BAADA YA KUKAMILIKA KWA UKARABATI

Mkuu wa Idara ya Usalama wa Njia za Treni Msaidizi, Marko Gukwi, akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa za kufunguliwa rasmi kwa Daraja la Treni la Mto Ruvu lililobomoka kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha nchini, ambalo litaanza kupitisha rasmi Treni za abiria Jumapili Juni 11 mwaka huu baada ya kuwa katika ukarabati kwa kipindi cha Wiki mbili kuanzia Mei 20, 2017.  Kushoto ni Mkurugenzi  Mtendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL, Focus Makoye Sahani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.