Habari za Punde

UMOJA WA WANAWAKE WA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA WAFANYA KONGAMANO LA KITAIFA

Viongozi wanawake wa Muungano wa makanisa ya Pentekoste Tanzania wakionesha mshikamano kwenye kongamano la Kitaifa la wanawake wa kanisa hilo lililofanyika makao makuu ya kanisa hilo Sinza Afrika Sana jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo linamalizika leo. Picha na Dotto Mwaibale

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.