Habari za Punde

WABONGO TUJIHADHALI NA MBOGA ZA MAJANI ZA MABESENI ZINAZOUZWA MITAANI, HATARI KWA AFYA YAKO


Mboga ya Majani ya Kunde kama yanavyonekana kustawi vilivyo katika eneo hilo
Mmoja kati ya vijana wanaofanya shughuli zao katika dampo hilo na kusimamia mboga hizo kwa kuwauzia kina mama wa mabeseni wanaokwenda kuuza mitaa.
Mmoja wa kina mama wanaofanya biashara ya mbogamboga akiwa na mzigo wa kiroba cha Mboga kichwani akitoka kununua katika Dampo hilo kuelekea kuuza kwa wateja wake mitaani
Haya ni maji machafu na hatari kwa afya ya mlaji yanayochuruzika baada ya kujichuja kutoka katika dampo hilo
Mboga ya majani ya Maboga ikiwa imestawi vilivyo na kuvutia machoni kwa kila mti lakini ukitazama kule chini maji yanayochuruzika kutoka chini ya mboga hii sidhani kama utatamani kuendelea kununua mboga hizi huku mitaani kwetu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.