Habari za Punde

WANACHI WAFURIKA BENKI KULIPIA KODI ZA MAJENGO, MUDA WAONGEZWA WIKI MBILI

Wananchi wakiwa katika foleni kuingia Benki ya CRDB Tawi la Millenium Tower kulipia Kodi ya Majengo ambayo ilitangazwa mwisho wa kulipia ni leo Juni 30, huku katika baadhi ya maeneo ukiongezwa muda wa wiki mbili.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.