Habari za Punde

WAWAKILISHI WA TANZANIA MASHINDANO YA MAZINGIRA DUNIANI WAIBUKA NA MEDALI NCHINI MAREKANI

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya mazingira Duniani kwa wanafunzi 'Genius olimpio' (kushoto) ni Abdulrazack Nkamia, Rashid Jakaya Kikwete na Abdallah Rubeya wakiwa na furaha baada ya kutwaa medali za mashindano hayo yaliyofanyika jana nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.