Habari za Punde

AZAM FC WAANZA KUJIFUA MARA TATU KWA SIKU KUJINDAA NA LIGI MSIMU UJAO

 Wachezaji wa Azam Fc wakiwa katika mazoezi ya pamoja kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu ambapo wameanza kujifua kwa staili ya aina yake kwa wachezaji kupewa dozi mara tatu kwa siku.
 Agrey Morris akipasha
 Maelekezo kwa makipa ......
 Wakishow love......
Mazoezi ya viungo yakiendelea

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.