Habari za Punde

BANDA LA PROPERTY INTERNATIONAL LATIA FORA MAONYESHO YA SABASABA


 Wananchi wakiwa wakisongamana kuingia ndani ya Banda la Property International katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara yaliyofikia kilele hii leo kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo yataendelea hadi Tarehe 13 mwezi baada ya kuongezwa siku na Mhe. Rais. 
 Maelekezo kuhusu ramani za viwanja yakiendelea
Wananchi wakiwa ndani ya Banda la Property International,wakipata huduma kuhusiana na kununua na kukopeshwa viwanja vilivyopimwa katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.