Habari za Punde

BONDIA IBRAHIM KING CLASS AWASILI NCHINI NA UBINGWA KUTOKA UJERUMANI

Bondia Ibrahim King Class akiwa na makocha wake Habibu Kinyogoli na Rajabu Muhamila Super D mara baada ya kuwasili nchini
Bondia Ibrahim King Class akiwasili nchini akitokea nchini Ujerumani ambapo alishinda taji la Dunia ubingwa Global Boxig Council katika uzito wa kati mara baada ya kumchapa Jose Forero wa wa Panama kwa Pointi.
Bondia Ibrahim King Class akiwa na kocha wake Habibu Kinyogoli mara baada ya kutaua nchini

Bondia Ibrahim King Class akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa ngumi
Bondia Ibrahim King Class akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa ngumi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.