Habari za Punde

EVERTON WALIVYOJIFUA UWANJA WA TAIFA JIONI YA LEO KUWAKABILI GOR MAHIA KESHO

Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akifanya mazoezi katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo.
 Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kumaliza mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
 Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kumaliza mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
  : Mchezaji Wayne Rooney wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza akitoka mazoezini katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo na Meneja wa Habari wa Timu ya Everton FC  wakati wa mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuf Omar Singo.
 Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakiingia katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.  

 Wachezaji wa Timu ya Everton FC ya nchini Uingereza wakifanya mazoezi katika dinba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Mazoezi yakiendelea...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.