Habari za Punde

EVERTON YATUA DAR NA ROONEY NDANI KUWAKABILI GOR MAHIA KESHO

 Mchezaji mpya wa timu ya Everton ya nchini England, Wyn Rooney na mwenzake wakiwa katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada ya kuwasili leo asubuhi kwa ajili ya mchezo wa kirafiki kesho na timu ya Gor Mahia ya Kenya utakaopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
Wachezaji wa timu ya Everton wakishuka katika Ndege baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, leo asubuhi kwa ajili ya kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Gr Mahia kutoka nchini Kenya. 
 Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, akisalimiana na mchezaji wa Everton, Wyn Rooney, wakati alipofika kuwapokea wachezaji hao kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.