Habari za Punde

FERRE GOLA, CHRISTIAN BELLA WALIVYOWAPAGAWISHA MASHABIKI WA MUZIKI WA DANSI DAR JANA

 Rapa wa Mwanamuziki Ferre Gola, Ruth Nzele, akishambulia jukwaa sambamba na mnenguaji wake, Biffalo Yamado, wakati wa onyesho la bendi hiyo na Malaika Band, lililofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaa, jana usiku.
 Mwanamuziki Christian Bella, akishambulia jukwaa sambamba na wanenguaji wake wakati wa Onyesho la bendi yake ya Malaika na mwanamuziki kutoka Congo, Ferre Gola, lililofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaam.
 Wanamuziki na wanenguaji wa Bendi ya Malaika wakishambulia jukwaa wakati wa Onyesho la bendi ya Malaika na mwanamuziki kutoka Congo, Ferre Gola, lililofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaam.
 Mwanamuziki  wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, akiimba jukwaani na wanenguaji wake wakati wa onyesho la bendi yake na bendi ya Malaika, lililofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaam
 Wanamuziki wa bendi ya Ferre Gola, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho la bendi hiyo na Malaika Band, lililofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaam
 Rapa wa Mwanamuziki Ferre Gola, Ruth Nzele, akirap na kuwachezesha wanamuziki na wanenguaji waake, wakati wa onyesho la bendi hiyo na Malaika Band, lililofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaam.
 Mwanamuziki Christian Bella, akishambulia jukwaa sambamba na wanenguaji wake wakati wa Onyesho la bendi yake ya Malaika na mwanamuziki kutoka Congo, Ferre Gola, lililofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon, Namanga jijini Dar es Salaam.
 Burudani ikiendelea
 Tumba zikicharzwa
 Burudani ikiendelea jukwaani
 Mashabiki wa muziki wa dansi wakiwa bize kurekodi video za burudani
Mashabiki wakisebeneka

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.