Habari za Punde

FUTURE, DIAMOND WALIVYOBAMBA TAMASHA LA UNLOCK EXTRA JANA


MSANII wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Marekani, Naivadius Willburn 'Future',  akishambulia jukwaa wakati wa Tamsha la Unlock Extra, lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam,
jana usiku. Picha na Cathbert Kajuna
 Sehemu ya Mashabiki waliojitokeza kushuhudia onyesho hilo wakifuatilia kwa umakini yaliyokuwa yakiendelea jukwaani.
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Nasib Abdul 'Diamond', akishambulia jukwaa wakati wa onyesho hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.