Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, AJALI HAINA KINGA

 Askari wa Usalama Barabarani, akipima ajali ya magari matatu namba za usajili T 988 BSK aina ya Noah, na Coaster T972 CTA linalofanya safari zake Makumbusho-Kunduchi na T 300 AKE, (haipo pichani) inayofanya safari zake Kawe Mbezi Mwisho, iliyotokea Barabara ya Bagamoyo njia panda ya Goba. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
Ilikuwa ni mminyano wa hatari

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.