Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Askari wa uslama Barabarani wakiangalia na kujadiliana kuhusu kuliondoa Roli lenye namba za usajili T  155 ARN, lililoanguka na kufunga Barabara ya Bagamoyo eneo la Goigi Mbezi Beach. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
  Roli lenye namba za usajili T 155 ARN, likiwa limefunga Barabara ya Bagamoyo eneo la Goigi Mbezi Beach, baada ya kuanguka katikati ya barabara hiyo. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
 Gari la kubeba mizoga likiinua gari hiyo
Jitihada za kuliinua gari hilo zikiendelea

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.