Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, UKIPAKI GARI HAPA UWE NA HELA ZA KUTOSHA

Vijana wakijazana katika gari mpya iliyoegeshwa eneo la Lumumba jijini Dar es Salaam, kila mmoja akihitaji kuuza vifaa vya urembo kwa dereva wa gari hilo kama walivyonaswa na Kamera ya Mafoto Blog jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.