Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, MPOGOLO AKAMUA CHAI KWA MIHOGO UKEREWE

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rodrick Mpogolo (wa pili kulia) akishiriki kunywa chai na Mihogo na baadhi ya Viongozi Nyumbani kwa Balozi wa Shina Na. 2 Wilayani Ukerewe wakati akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama, Kanda ya Ziwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.